Uwanja wa Sokoine Mbeya: Prison Tanzania 1 - 3 Yanga Afrika

Ligi itaisha mtabaki kusema hivyohivyo huku Yanga ikibeba ubingwa....
Ndio kwanza tupo kwenye mzunguko wa 14 kwenye ligi yenye mizunguko 38 mnashangilia namna hii kama tupo mzunguko wa 32?tulieni wakuu ndio kwanza bado asubuhi.
 
Ndio kwanza tupo kwenye mzunguko wa 14 kwenye ligi yenye mizunguko 38 mnashangilia namna hii kama tupo mzunguko wa 32?tulieni wakuu ndio kwanza bado asubuhi.
Amini nakuambia timu pekee yenye uwezo wa kuifunga yanga ni azam tu,
Na yanga Itatangaza ubingwa kabla ya mechi tano ligi iishe, mtabaki kusema ligi bado hata ubingwa tukiwa nao mtaendelea kusema hivyo hivyo....
 
mbinu moja wapo ya kumshinda mpinzani wako katika marathon ni kumtangulia mpinzani wako kwa maana utakuwa unamchosha na kumfanya akate tamaa kwa maana kila akichirimika akukute we unakuwa mbali zaidi na ndivyo ushindi utapata
Wakimbiaji wazoefu kwenye marathon huwa hawaanzi kwa kasi kubwa ila mwishoni ndio humalizia kwa kasi ya supersonic, km 42 huwezi kuanza kwa kasi pumzi itakata, sie tumehifadhi pumzi yetu tu, we are just trotting for the moment ila sikilizia mziki wetu hapo mid January kuelekea Feb ndio utajua kama maharaghe ni mboga au ni zao la biashara.
 
Umetangulia kwa points 11,utapigwa na Azam na Simba zitabaki 5,mimi nikishinda manake ni lazima nishinde michezo yangu ya kiporo nakamata usukani wangu wa TPL, nyie pigeni mark time na kelele kwenye nafasi za wenyewe.
Mmh.
 
Amini nakuambia timu pekee yenye uwezo wa kuifunga yanga ni azam tu,
Na yanga Itatangaza ubingwa kabla ya mechi tano ligi iishe, mtabaki kusema ligi bado hata ubingwa tukiwa nao mtaendelea kusema hivyo hivyo....
Narudia tena utapoteza mechi zifuatazo, mechi dhidi ya Simba na Azam, halafu ukienda ccm kirumba unaweza kupigwa au kuambulia sare dhidi ya mbao, kwa Mtibwa vile vile unaweza kupata sare, hapo sijazungumzia ukifika pale Nangwanda sijaona.
 
Kwani mkikaribia mwisho mnaongezwa idadi ya mechi na mkishinda mechi moja mnapewa point 6 badala ya 3, kama hakutakuwa na cha kubadirika idadi ya mechi itakuwa sawa na yanga na pint zitahesabika 3 basi mjiandae kuikana timu yenu na kikosi chenu kipana hata dawa zenu mtazikana.
 
Yes tuna kikosi kipana, ndio tunaweza kucheza ata mechi mbili siku moja na tukashinda zote, ligi hii ni kama mlima wa chupa usitegemee unaweza kufika kileleni ukiwa pekupeku.
 
Hivi hadi ifike march si itakua tumeshawaacha pointi zaidi ya 20 huko?
Haijawahi kutokea mtoto akalala na hela bali nepi au pampas, hivyo tuwe na subra hilo ndio la muhimu tu, mwishoni tutajua mwanaume wa shoka ni nani na mvulana ni nani.
 
Hahahaaa, kwa hiyo unataka kusema kasi ya man city, barca, juve, psg na genk zitakata pumzi soon,
Acha kukariri wewee hii ni ligi ya point 3 sio kukusanya nguvu ya kumaliza haraka.
 
Yes tuna kikosi kipana, ndio tunaweza kucheza ata mechi mbili siku moja na tukashinda zote, ligi hii ni kama mlima wa chupa usitegemee unaweza kufika kileleni ukiwa pekupeku.
Kwa kukusaidia fanya yanga kashinda mechi zote zilizobaki na dalili inaonyesha hivyo na katoa droo na simba, pia simba kashinda mechi zote zilizobaki ila dalili haziko hivyo tumeona akipata shida na wakina lipuli na kuja kudroo na yanga sema mwenyewe nani ataondoka na kombe hapo?
 
Waambie hao sababu kila kukicha wanabadili maneno tu.
Hahahaaaa, mara baiskel ya miti
Mara subirini muende mkoani,
Mara pumzi zitakata,
Mara sawa na barafu,
Mara wanaloga,
Hizo mara hizo mpaka mwisho wa ligi
 
Narudia tena utapoteza mechi zifuatazo, mechi dhidi ya Simba na Azam, halafu ukienda ccm kirumba unaweza kupigwa au kuambulia sare dhidi ya mbao, kwa Mtibwa vile vile unaweza kupata sare, hapo sijazungumzia ukifika pale Nangwanda sijaona.
Hahahaaa hizo mechi labda ndio atafungwa simba, ila kwa uhakika kabisaaaa bado sijaona timu ya kumfunga Yanga msimu huu, kama simba wametushindwa basi naamini usitarajie yanga kufungwa...
 
Hahahaaa, kwa hiyo unataka kusema kasi ya man city, barca, juve, psg na genk zitakata pumzi soon,
Acha kukariri wewee hii ni ligi ya point 3 sio kukusanya nguvu ya kumaliza haraka.
Tatizo lako unataka kufananisha kifo na usingizi, vilabu ulivyovitaja havifanani ata kidogo na Yanga Africa ya sasa timu ambayo wachezaji wake hawana ata uhakika wa mshahara yao ya mwezi, wachezaji classy niwa kuhesabu, ifanane na timu ambazo ni well equipped kuanzia budget mpaka wachezaji, mkuu embu acha utani wa kijinga.
 
Yes tuna kikosi kipana, ndio tunaweza kucheza ata mechi mbili siku moja na tukashinda zote, ligi hii ni kama mlima wa chupa usitegemee unaweza kufika kileleni ukiwa pekupeku.
Acha kukariri, hujui mpira wewe, timu zenye vikosi vipana zinaongoza ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…