Subirini mtakapo anza kupigwa sindano za moto kwenye miili yenu ndio mtakapofahamu na kukiri haya tusemayo.Hahahaaaa, mara baiskel ya miti
Mara subirini muende mkoani,
Mara pumzi zitakata,
Mara sawa na barafu,
Mara wanaloga,
Hizo mara hizo mpaka mwisho wa ligi
Kwani hao wa ulaya wanachezea mpira wa dhahabu?Tatizo lako unataka kufananisha kifo na usingizi, vilabu ulivyovitaja havifanani ata kidogo na Yanga Africa ya sasa timu ambayo wachezaji wake hawana ata uhakika wa mshahara yao ya mwezi, wachezaji classy niwa kuhesabu, ifanane na timu ambazo ni well equipped kuanzia budget mpaka wachezaji, mkuu embu acha utani wa kijinga.
sawa yanga ni baiskeli ya barafu ila kabla ya saa 6 mchana ndio ubingwa utatwaliwa na itayeyukia kipindi kombe kashachukua nyinyi mikia fc mkiwa mnasubiri saa 6 mchana yanga ayeyuke kumbe mwenzenu kabla ya saa 6 washachukua kombeYanga baskeli ya barafu alafu tunakaribia saa 6 mchana
Sina hofu sababu haya ni maandishi tu wala hayasadiki ukweli wowote, ila bado sijaona timu ya kuifunga yanga labda wabahatishe drooSubirini mtakapo anza kupigwa sindano za moto kwenye miili yenu ndio mtakapofahamu na kukiri haya tusemayo.
Ooh. Mara mna bahati. Na ndio nionavyo ujue hizi maneno zao mpaka ligi inakwisha.Hahahaaaa, mara baiskel ya miti
Mara subirini muende mkoani,
Mara pumzi zitakata,
Mara sawa na barafu,
Mara wanaloga,
Hizo mara hizo mpaka mwisho wa ligi
Mkuu mpira hauna shortcut Yanga kinachowabeba ni bahati ila ubingwa utaamuliwa na uwezo wake timusawa yanga ni baiskeli ya barafu ila kabla ya saa 6 mchana ndio ubingwa utatwaliwa na itayeyukia kipindi kombe kashachukua nyinyi mikia fc mkiwa mnasubiri saa 6 mchana yanga ayeyuke kumbe mwenzenu kabla ya saa 6 washachukua kombe
simba inawauma kweli.....yangaaaaa oyooooo inaharibu mioyo ya simba kwa maana wamefunga midomo na usitegemee yanga kupoteza mchezo kwa maana kama mikia fc mnataka kombe basi ujue na yanga naye analitaka na hawezi fanya uzembe kama mfikiriavyo
Ligi haiwezi kuisha kirahisi hivo zinachezwa mechi 38Ooh. Mara mna bahati. Na ndio nionavyo ujue hizi maneno zao mpaka ligi inakwisha.
nyie mtakapokuwa mnasubiri muanze kasi kipindi hiko yanga atakuwa na point 100000 na mikia fc wanapoint 30 sasa sijui kasi yako itakusaidia nini na wakati huo kumbuka yanga naye atakuwa kwenye kasi zaidi kwa maana mikia mtajifanya kuwa kasi teh teh teh poleni mikia fc nyie saizi ni wakuchuana na njombe mji ndio level yenu ila si yanga baba la mababaWakimbiaji wazoefu kwenye marathon huwa hawaanzi kwa kasi kubwa ila mwishoni ndio humalizia kwa kasi ya supersonic, km 42 huwezi kuanza kwa kasi pumzi itakata, sie tumehifadhi pumzi yetu tu, we are just trotting for the moment ila sikilizia mziki wetu hapo mid January kuelekea Feb ndio utajua kama maharaghe ni mboga au ni zao la biashara.
Tusubiri tuone basi.Ligi haiwezi kuisha kirahisi hivo zinachezwa mechi 38
Yanga kuzungumzia ubingwa kwa sasa ni pre ejaculation
Wewe jamaa ni ngengemtoni mito mingi yaani Yanga hi ikose timu ya kuifunga? Unakumbuka mechi na Simba? Walikuwa wanapumulia mipiraSina hofu sababu haya ni maandishi tu wala hayasadiki ukweli wowote, ila bado sijaona timu ya kuifunga yanga labda wabahatishe droo
Mkuu mechi 14 Kati ya 38 unazungumzia ubingwa? Ukisikia pre ejaculation maana yake ndo hii sasaKuna mwaka Leicester City iliongoza kama ilivyofanya Yanga, basi watu waliongea kama ulivyosema kushangaa wakakuta wamebeba ndoo.
et bahati...yanga wanaweza bhana hawezekani timu icheze mechi 14 itoe draw 2 na match 12 ashinde bila kufungwa alafu usema anabahatisha....yanga anaviwango bhana kubahatisha kupo kwa simba tuMkuu mpira hauna shortcut Yanga kinachowabeba ni bahati ila ubingwa utaamuliwa na uwezo wake timu
Yanga ikichukua ubingwa ni aibu kwa taifa na wachezaji wa kuungaunga
Si ndio mlibahatisha? Tena mkaachiwa mcheze nyie tu, je tungecheza na sisi si mngefungwa?Wewe jamaa ni ngengemtoni mito mingi yaani Yanga hi ikose timu ya kuifunga? Unakumbuka mechi na Simba? Walikuwa wanapumulia mipira
Unatafutia pa kutokea sasa. Mechi ya Septemba huko unaizungumzia leo? 😳😳😳Wewe jamaa ni ngengemtoni mito mingi yaani Yanga hi ikose timu ya kuifunga? Unakumbuka mechi na Simba? Walikuwa wanapumulia mipira
Huu upepo unapepea na Sasa utakata na mtarudi kwenye dunia ya kawaidaAibu yenu nyie wenye kikosi kipana kama Bweni la shule.
Matopeni anang'olewa leo arudi tuone kama atakula viporo.
Asipotolewa uwanjani, atatolewa kwa imani za kishirikina. Walinyunyiza maji sehemu ya wachezaji kupita kuelekea vyumbani baada ya bus la Azam kufika kwa Mchina.
Uchawi utawa cost mwaka huu.
Bado saa kadhaa tu. TusubiriSimba anaenda round inayofuata Leo usipoteze muda wako kuwa na matumaini Simba itatolewa
Viwango? Unaona zile butua butua? Yanga kupiga pasi 5 zifike ni miujiza wao ni kupiga ndefu kutoka goli moja Hadi lingineet bahati...yanga wanaweza bhana hawezekani timu icheze mechi 14 itoe draw 2 na match 12 ashinde bila kufungwa alafu usema anabahatisha....yanga anaviwango bhana kubahatisha kupo kwa simba tu
Azam na Mbeya city watamfunga Yanga na kuitoa bikira baaada ya hapo unajua kinachofuataUnatafutia pa kutokea sasa. Mechi ya Septemba huko unaizungumzia leo? [emoji15][emoji15][emoji15]