Uwanja wa Sokoine Mbeya: Prison Tanzania 1 - 3 Yanga Afrika

Azam na Mbeya city watamfunga Yanga na kuitoa bikira baaada ya hapo unajua kinachofuata
Na bado mtapata tabu sana sasa mmehamia mbeya city na azam baada ya kuona simba hana uwezo wa kuifunga yanga, sasa tunawaambia hata hao mnaowategemea kitawakuta kilichowakuta wa jana maana nao mliwategemea sana
 
Mkuu mechi 14 Kati ya 38 unazungumzia ubingwa? Ukisikia pre ejaculation maana yake ndo hii sasa
Mkuu mimi nakuelewa sana. Ila Yanga wanaiga tu kuongelea ubingwa, aliyeanza kuongelea ubingwa walikua ni Simba baada tu ya kumsajiri MO kwa dau la hisa za asilimia 49. Na waliposhinda mechi mbili za kwanza tu wakaenda ku print t-shirts za ubingwa.
Yanga ni mbumbumbu sana mkuu, wanaigaiga tu. Ubingwa ni wa Simba sababu kwanza tuna MO, pili kikosi chenye thamani ya bilioni.
wakati yanga nzima kikosi chao kina thamani ya shilingi milioni 40 tu
 
Mkuu mnapata tabu sana yanga inavoshinda, haina hela, kikosi kibovu,haina mwenyekiti. Kwanza TPL in timu mbovu zote kama anaeiongoza ligi mbovi wanaofuata so ndo choka mbaya
Sent from my Lenovo A6000 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3] sarcasm right? Okay mkuu Simba ukiangalia kikosi Chao hata wewe najua moyoni unaona kabisa wakitwaa ubingwa watakuwa wamepata wanachostahili
Ila Yanga nguvu ya Sayona kitaalamu sioni wakichua ubingwa
 
Na bado mtapata tabu sana sasa mmehamia mbeya city na azam baada ya kuona simba hana uwezo wa kuifunga yanga, sasa tunawaambia hata hao mnaowategemea kitawakuta kilichowakuta wa jana maana nao mliwategemea sana
Utapoteza game na Simba, azam, ndanda, Mtibwa, Mbeya city, na Mbao......nina uhakika hapo hutapita salama mkuu wangu hivyo punguza kelele kwa sasa.
 
Wa kulia itakuwa ni sisi au nyie, sisi tuna uhakika na ubingwa more than 200%.
Hizo asilimia zitakapoyeyuka msisingie bahati na upepo kwa yanga. Mungu atatujalia uzima na afya njema kushuhudia bingwa wa msimu huu.
 
Hizo asilimia zitakapoyeyuka msisingie bahati na upepo kwa yanga. Mungu atatujalia uzima na afya njema kushuhudia bingwa wa msimu huu.
Huko Eswatini mambo ni bam bam, simba 2 yanga 0, magoli classic kutoka kwa attacking midfielder bora kabisa katika ukanda huu wa Africa Mashariki, Clotus Chota Chama.
 
Huko Eswatini mambo ni bam bam, simba 2 yanga 0, magoli classic kutoka kwa attacking midfielder bora kabisa katika ukanda huu wa Africa Mashariki, Clotus Chota Chama.
Aisee, wanacheza na yanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…