DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Sio mbaya, jitahidi mrudishe tuliyokufungeni jana kule mbeyaNi yanga wale, au siyo timu yenu? Tumeshawatotesha, maji ya shingo.
Ogopa mtu anayemkimbiza mwizi kimya kimyaSisi principle yetu ni moja, ukiwa unaua nyoka shurti uponde kichwa, tumemaliza kuponda kichwa hapo eSwatini, tunageukia TPL sasa, mtatulia tu.
Mie naumwa ila wewe unaugua.
Nafikiri umesahau, ngoja nikukumbushe kidogo, Simba hana muda maalum wa kuwinda na kula, anakula muda wowote anaposikia njaa, hivyo hiyo breakfast, sijui supper wanajua yanga.Mpira wa kujipatia ushindi kwenye keyboard huwa na matokeo tofauti na ya uwanjani.
Hope is a good breakfast but a bad supper
Yule beki ndiye alisababisha Prison kufungwa. Wangebaki 10 uwanjani pengine wasingefungwa.Sijawahi kumuona beki asiyetumia akili kama yule beki No. 5 wa Prisons...Yaani ametoka huko Nduki kuja kumpiga kichwa Ngasa wakati akijua Ngasa angepata red kwa kumpiga kichwa mchezaji wa Prison...Sasa yule no. 5 baadala ya kutulia naye anakimbiklia kupata red...ovyo kabisa...na yule Dante sijui vipi ni lazima atafungiwa tu yule...
Nafikiri umesahau, ngoja nikukumbushe kidogo, Simba hana muda maalum wa kuwinda na kula, anakula muda wowote anaposikia njaa, hivyo hiyo breakfast, sijui supper wanajua yanga.
Halafu ni askari Magereza kama sijakosea, nafikiri anawakilisha namna askari wengi wa nchi hii walivyo na upeo mdogo wa kufikiria na kufanya maamuzi, kwa kifupi yule jamaa ndio aliyeiua Prison, Ngasa alikuwa anakula umeme wake pale mwenyewe then wana take advantage ya yanga pungufuYule beki ndiye alisababisha Prison kufungwa. Wangebaki 10 uwanjani pengine wasingefungwa.
Hii quotation yako imenivutia sana, ila fahamu kuwa Simba hajawahi kufa na njaa porini ata kuwa na ukame ww namna gani, Simba ndio mfalme wa porini na uraiani.Njaa ikiwa inauma halafu chakula msituni kimeota mbawa utakuja kuukumbuka usemi huu.
Mtaombea mpate sare/suluu na haitapatikana.
Usisahau:
When the bird learns to fly without petching, the hunter learns to shoot without aiming.
Safari njema mawindoni
Hahaha. Sawa mkuuHii quotation yako imenivutia sana, ila fahamu kuwa Simba hajawahi kufa na njaa porini ata kuwa na ukame ww namna gani, Simba ndio mfalme wa porini na uraiani.