Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hakika.Hapa ushindi tuu,hakuna Mikoani wala Taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika.Hapa ushindi tuu,hakuna Mikoani wala Taifa
Wasije wakagongana huko wanakokimbiaMikia wamekimbiana
Niliwahi kukwambia kitu siku moja hivi, leo nikarudia lkn bado hunielewi.Aisee mmekuja kwa kasi kama mmetumwa? Hongereni sana ndala fc, kutoka moyoni nimependa sana come back yenu, maafande kwa mara nyingine wamenichosha ingawa game yao ya mwisho dhidi ya yanga msimu uliopita ndio ilikuwa sababu, ya yanga kupoteza muelekeo kabisa kwenye mbio za ubingwa.
Naona leo mna furaha sana kuifunga timu kibondeHahaha maneno tu hayo,
Mwendo huu huu
Mikia wanaruka na kukanyaganaWasije wakagongana huko wanakokimbia
Labda ila furaha yenu ina mwisho wakeKwa hiyo yanga ina bahati nzuri kila mechi?
Hapa navuta taswira ndio maana wakaja na kasi kisha wakaondoka kwa kasi yaani hicho ni kipimo tosha cha Umbu....u. 😂😂😂😂Washavurugwa mkuu. Usisahau a.k.a yao ya mbumbumbu fc
Ishakuwa kibonde mara hii?Naona leo mna furaha sana kuifunga timu kibonde
Wale maarufu wa kipindi cha kwanza wabaki mpaka sasaUkimbiwe mara ngapi sa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mmhh. Sasa ndio mmeyaona hayo. 😳😳😳😳Naona leo mna furaha sana kuifunga timu kibonde
😂😂😂😂 hizo zote ni mbinu za kutafuta pa kutokea tu.Ishakuwa kibonde mara hii?
Ulikuwa unaishangilia kibonde?
Mtapoteana tu, usishangilie sana mkuu, yanga hii ni mbovu mno, kinachoibeba yanga ni bahati tu waliyonayo kwa sasa.Niliwahi kukwambia kitu siku moja hivi, leo nikarudia lkn bado hunielewi.
Mtapata tabu sana kuiombea yanga kushindwa
Kiko wapi?
Walishakimbia kitambo.Wale maarufu wa kipindi cha kwanza wabaki mpaka sasa
Tuliyaona kabla ila hatukutaka kusema tuMmhh. Sasa ndio mmeyaona hayo. [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Hivyo mwaka huu bahati yote tumebwagiwa sie. Hatari sana.Mtapoteana tu, usishangilie sana mkuu, yanga hii ni mbovu mno, kinachoibeba yanga ni bahati tu waliyonayo kwa sasa.
Hahahaha. Nitaendelea kuishangilia hata siku ikifungwa. Sio bahati mkuu, kila mechi?Mtapoteana tu, usishangilie sana mkuu, yanga hii ni mbovu mno, kinachoibeba yanga ni bahati tu waliyonayo kwa sasa.
Eti eeeee. Haya.Tuliyaona kabla ila hatukutaka kusema tu