Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii siyo bahati, mechi zote hizo iwe bahati?, hata tukifanya bahati basi itaendelea mpaka mwisho wa ligiMtapoteana tu, usishangilie sana mkuu, yanga hii ni mbovu mno, kinachoibeba yanga ni bahati tu waliyonayo kwa sasa.
Mpaka sasa una dhani wana la kusema basi. Zimebaki tilalila tu.Wakianza kutoka wataona ugumu wa ligi tff inawabeba kwa kuwapangia mechi nyingi uwanja wa taifa, haya sasa tuseme na huko mikoani.
HahahahaFuraha yangu imepotea kabisa ndani ya dakika kumi za mwisho, kwa mara nyingine nalala tena mapema leo.
Tuombe uzima. Japo nina inani mtabaki kusingizia bahati tu kama ilivyokuwa leo.Bahati na upepo ndio vinavyowabeba ila si kitambo kidogo mtaanza kutafutana, amin amin nakuambia.
Kufika mahali wapi unasemea?Kwa ubovu huu wa kikosi chenu hamna mahali mnafika.
Ligi bado Sana upepo ndo unawabeba, ngoja gesi iisheKufika mahali wapi unasemea?
Wazee wa kubahatisha Leo wanaumbuka
HahahahaMaafande wameniangusha sana, mie nilikuwa nahitaji sana tu, matokeo yake nimepoteza kila kitu.
Nguvu ya upepo inawabeba, ngoja Tanki liisheWakianza kutoka wataona ugumu wa ligi tff inawabeba kwa kuwapangia mechi nyingi uwanja wa taifa, haya sasa tuseme na huko mikoani.
Naona mmeanza kutafuta sababu sasa, mambo ni fire huko uwanja wa Sokoine Mbeya.