Uwanja wa Sokoine Mbeya: Prison Tanzania 1 - 3 Yanga Afrika

Uwanja wa Sokoine Mbeya: Prison Tanzania 1 - 3 Yanga Afrika

Bench la ufundi halitatuangusha.
Nadhani umeshuhudia nidham yao kipindi cha pili.
Muwe mnashangilia mech ikiisha mkuu. Mtakuja pata shinikizo la juu la damu kwa yanga hii.
Shinikizo la damu pekee wanaeza hata kufa . 😂😂😂
 
Leo mida ya saa kumi jioni kwa saa za Afrika Mashariki utapigwa mtanange wa kukata nashoka kati ya maafande wa magereza Tanzania dhidi ya Yanga afrika, yanga ambayo haijapoteza mchezo ata mmoja ikiwa inaongoza ligi kuu, itavaana na maafande wa magereza Tanzania ambao wako katika nafasi ya 19,swali ni je Yanga itaendeleza ubabe katika TPL kwa kujinyakulia alama zote tatu au Prison watafanya maajabu leo ili kutoka mkiani walikosalia?
Tukutane hapa kupeana yale yatakayokuwa yanajiri huko uwanja wa Sokoine Mbeya.

Updates
Dakika 45 za kipindi cha kwanza ndio zimeanza hapa ccm Sokoine Mbeya.

Updates
19' yanga wanapata mpira wa adhabu senti mita chache kabisa kutoka 18, anaenda kupiga Ajib.....anakosa.

Updates
35' Maka Edward anapewa kadi ya njano, na prison wanapata nafasi ya kupiga mpira wa adhabu kuelekea lango la yanga, prison wanapoteza nafasi hii ya mpira wa adhabu.

Updates
43' prison wanapata penalty
Ajibu, Juma Abdul, Chikupe wanapewa kadi ya njano hapa.

45' prison wa naandika goli la kwanza kupitia kwa Jumanne Nikaze Elfadhili.
Updates
Vurugu zinatokea hapa uwanjani, mchezaji wa prison yupo chini,mrisho Ngasa kampiga kichwa Hassan Kapalata, hiki ndicho chanzo cha vurugu.

Updates
Umeme unatolewa kwa Ngasa na Laurian Mpalile, kadi nyekundi.

Mpira ni half time.

Updates
45' za kipindi zinaweza kuanza muda wowote kuanzia sasa, wakati huo huo Mateo Anthony anaingia kuchukua nafasi ya Maka Edward, mpira umeanza hapa.

Updates
51'Jumanne Elfadhili anapewa kadi ya njano kwa kumchezea mchezo usiokuwa wa kiungwana Feisal Salum.

Updates
Maji mazito kwa Feisal, anakwenda bench na nafasi yake inachukuliwa na Thaban kamusoko

Updates
74' yanga wanapata penalty.
76' Ajibu gooooooooo prison 1 yanga 1.

Updates
80' Prison 1 Yanga 1.

Updates
84' Amiss Tambwe anaiandikia yanga goli la pili hapa.

Updates
+3 za nyongeza hapa uwanja wa mbeya

90+ gooooooooooo Amiss Tambwe anaiandikia yanga goli la tatu hapa.

Updates
FT Prison 1 yanga 3, mpira umekwisha hapa.
Mkuu una moyo sana, upo tu hata huchoki, mwenzio sembo mida hii anahisi homa.
 
Back
Top Bottom