Uwanja wa taifa aibu tupu, hakuna watu TFF imekula kwenu

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Watu wamejazana huku nje kwenye kontena na vibandani, ni aibu sana wapi TFF mmefeli jamani

Shida iko wapi, nini mmefeli TFF nimefurahi kuona watu mmejali maisha yenu kwanza

Pili tff walijua derby 10000 watu wataenda tu wanakula backet nje bia saba safi...

Kaeni mjiulize kwanini matamasha wamejazana leo imekuwa aibu

Amjajua wanaojaza ninwale wa 5000 mkasome nyakati mpira starehe sio sehemu ya kuvuna pesa
 
Mpwa uko kona gani nije tule kindoo
 
Bando wamepandisha,tozo kila kona,kiingilio bei juu na chanjo hapo hapo aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…