Uwanja wa taifa DSM

abdallah mbwana

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
203
Reaction score
189
naomba kuuliza wakuu, hivi kwa nini kuna jukwaa la Simba na Yanga ktk uwanja wa taifa dsm?
 
Nenda taifa na jezi yako ya kijani au njano then kakae upande wa screen ya uwanjan wakati wa mechi ya simba na yanga uone
Siku mashabiki WA Yanga wakikaa kushoto na Simba kulia kinatokea nini.
Sio rasmi
 
naomba kuuliza wakuu, hivi kwa nini kuna jukwaa la Simba na Yanga ktk uwanja wa taifa dsm?
Sidhani kama ni uwanja wa Taifa tu, bali asilimia kubwa wa viwanja vya bongo ndio mikao yao! Mfano mmoja tu ni uwanja wa jamhuri Morogoro na kuna kipindi nilitaka kujichanganya Arusha, nikashtuka mapema! Kifupi ni kama ndio utamaduni wa hivi vilab![emoji20] [emoji20]
 
Hata Wimbley yapo majukwaa ya Manchester City na Arsenal, we unashangaa Temeke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…