Uwanja wa Taifa(kwa Mkapa), haufai kwa mechi ya Yanga vs Zesco United

Itakie ushindi ila kwa mkapa lazima mkacheze.
 
Waliotia gundu pale ni Gadiel, Ajibu na Manara.
 
vyovyote vile ya leo yameshapita tujipange kwa yanayokuja..
lakini naomba tusiwe tunadharau kwakuwa ni mtu mdogo tena asiyetambulika kasema..
humu naamini wapo watu ambao wapo karibu na timu ya Yanga humu Jf... muwe mnazingatia hata maneno madogo tu..
 
Watu kweli wanga duuuh
 
Lakin chamanz kapigwa mtu uku Tena kwake sasa cjw nao azam wahamishe uwanja
 
Lisemwalo Lipo.
Maneno Huumba.

Heshima yako Mkuu
 
waache kukariri kwa mkapa...
kila la heri timu yangu ya taifa ya Tanzania katika mechi itakayochezwa dhidi ya sudan...

huenda ndio mwisho wa mabalaa na gundu/mikosi pale kwa mkapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…