Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa. Leo Mkuu umejianzishia.
Kila la kheri timu yangu ya nyumbani Prisons.
Kabisaaa mpaka kieleweke leo. Hakuna cha mteremko.Naona imepaki basi [emoji16][emoji16][emoji16]
Huu ndio utabiri ambao mie napenda. Hivyo hivyo Mkuu. [emoji85]Wajerajera 1, taarabu club (simba) 0
Kabisaaa mpaka kieleweke leo. Hakuna cha mteremko.
Hahahaa. Kumbe hata wewe Kaka yangu upo Simba lol.Mpaka mwisho Simba 2-Prison 0...
Hahahaaa. Round hii sijui kama watazipata labda point 1Ila mnakuwaga wagumu mkiwa kwenu (Sokoine) ila pale mlitoa points 3 ngoja tuone leo Taifa itakuwaje
Prison wamelipark..mabwege kweli hawa yatafungwa
YamefungwaWanataka point moja
Kizaa zaa kitaanza wakifungwa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]