Uwanja wa taifa: Simba 2-0 Tanzania prisons, ligi kuu soka Tanzania bara

Kweli napenda mahela shem ubaki nayo tu jamani siwezi hama simba we kama unanipa nipe tu kwa mapenzi sio uniambie mambo za kuhama team kuhama team ni ngumu sana kwangu kama vile kubadili dini
Hahahaaaaa
 
aminas, Ghazwat, Sesten Zakazaka njooni huku muone timu yenu.
Tusikimbiane tu baada ya mechi maana Yanga safari hii mikeka yenu inachanika sana,wiki ilee mlikua mashabiki wa Mtibwa Sukari mkeka ukachanika, mara ya mwisho mlikua Mbeya City wakawachania mkeka leo hamjakata tamaa mnahamia Prisons, hahahaaa mna roho ngumu sana yanga
 
Chura hafi haraka
 
Kila la heri mnyama yangu mie
Aungurumapo Simba................, this is Simba bana... hua anasema mtangazaji wa BBC Lubunga Byaombe kutoka Kinshasa 'Kilabu La kabumbu la Simba kutoka huko Darisalama linacheza na Kilabu la kabumbu la TP Mazembe kutoka Lubumbashi, ile ndio size yetu sio hao wajelajela wa Mbeya au sijui jangwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…