Okwiiiiiiiiii. Okwi okwi oookwiiiii!!!!!Oookwiiiiiiii!
mkuu tukiwatafuna tutakosa mlo wa siku zijazo bora tuwajeruhi kucha 3 au 4Simba nitafunie hao viumbe tafadhari..
Itapendeza sana kama tukampa uraia na imani atakuwa na mchango mkubwa katika timu yetu ya taifa [emoji4] [emoji4] [emoji4]Asante kwasi ni Fundi sana Hutu jamaa
emmyta.. Tunadhihirisha ubora wetu. Sisi moja wao bila.Leo ndio leo. Haya sasa Watani zangu leo mdhihirishe ule ubora wenu sababu tambo zilikuwa nyingi sana.
Watani zangu Da Shunie, Ghazwat, Barafu ya moto msikimbie pale saa kumi itakapofika.
Mie leo niko Azam aiseee.
ZiroSimba anapigwa bila huruma.Mwisho wa ligi
1.YANGA
2.SIMBA
3.AZAM