upo sahihiHuyu ni mfanyakazi uwanja wa Taifa akiwa katika maandalizi ya kuutayarisha uwanja kuelekea mchezo wa leo TPL.
Inawezekana vipi huyu mfanyakazi wa uwanja huu kuu wa Taifa, asiwe na vifaa vya kujikinga na hatari yoyote ile bila kuwa na Overall, Gamboots, Cloves? Kulikoni hapo?View attachment 875380View attachment 875381
OSHA wapo bussy kwenda kudai rushwa kwenye makampuni ya watu binafsiHuyu ni mfanyakazi uwanja wa Taifa akiwa katika maandalizi ya kuutayarisha uwanja kuelekea mchezo wa leo TPL.
Inawezekana vipi huyu mfanyakazi wa uwanja huu kuu wa Taifa, asiwe na vifaa vya kujikinga na hatari yoyote ile bila kuwa na Overall, Gamboots, Cloves? Kulikoni hapo?View attachment 875380View attachment 875381
Cloves (karafuu) za kujikinga na nini?