Tuwe pamoja
0' Mpira unaanza
1' Ajib anapanga shambulizi golini ila linadhibitiwa
2'Yanga wanaliandama lango la township rollers, Kessy anapiga mshuti lakini unatoka nje
04' Township wanajibu mashambulizi, straiker amebakiwa na GK lakini ameshindwa kufunga.
05' Yanga wanafanya counter attack lakini inafeli
06' Township wanapanga mashambulizi na Yanga wanafanya mashambulizi. Ni piga nikupige
07' Chirwa anakwenda lakini anakuwa off side.
10' Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Lemponye anaiandikia township rollers goli la kwanza baada ya kupiga shuti kali moja kwa moja golini na kupata goli la kuongoza
12' Township wanapata kona baada ya kuendeleza mashambulizi kwenye lango la Yanga.
14' Township rollers wanazidi kupanga mashambulizi kwenye lango la Yanga, straiker wao anaikosakosa Yanga baada ya kipa kutoka golini
17' Yanga wanajipanga na wamepata kona, kona inapigwa lakini inatoka nje.
18' Yanga wanapanga tena mashambulizi na Papy Kabamba Shishimbi anapiga mshuti mkubwa ambao haukuweza kulenga goli.
20'Township wanafanya shambulizi langoni kwa Yanga lakini kipa anaipangua na mabeki kuiondosha
21'Ajibu anachonga kona lakini inatoka nje
22'Mpira ni kushambuliana kwa zamu
23' Township wanafanya shambulizi langoni mwa Yanga lakini kipa anaidaka.
25' Chirwa anapiga krosi nzuri, inamkuta Ajibu lakini anapiga nje.
27' Yanga wanafanya shambulizi lakini Gadiel Michael anapiga nje.
30'Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Obrei Chila Chirwa anaindikia Yanga goli la kwanza baada ya kupokea pasi kutoka kwa Papy Kabamba Shishimbi na kuitundika moja kwa moja golini; Yanga1 , Township Rollers 1
32' Yanga wanapiga kona, inakuwa ni piga nikupige kwenye lango la Township hatimaye kipa anadaka.
34' Township wanapanga mashambulizi kwenye lango la township ya Yanga lakini linadakwa.
35' Gadiel Michael anapiga krosi kwenye lango la Township lakini inatoka nje
37' Mpira ni kushambuliama kwa zamu
38'Kila timu inajaribu kutanuka na kucheza mpira bila kukalia kujilinda.
40' Kuna mchezaji wa township rollers yupo chini anagangwa
44'Kessy anachezewa rafu karibu na 18 na inapigwa faul kuelekea township. Anaipiga Ajib na inakuwa ni piga nikupige hatimaye inatoka nje.
45'Yanga wanazidi kulisakama lango la Township ila wanajikuta off side
Mpira ni mapumziko
45'Kipindi cha pili kimeanza
46' Hassan Kessy anapiga shuti langoni kwa wapinzani lakini halijazaa matunda
47' Ajibu anapiga shuti golini, Chirwa anapiga kichwa ila inatoka nje.
48'Gadiel Michael anapiga shuti kali nje ya 18 inatoka nje cm chache nje ya goli
49' Township wanapata kona baada ya kufika kwenye lango la Yanga, inapigwa lakini haijazaa matunda
51'Township wanafanya shambulizi kwenye lango la Yanga, ila GK anaidaka
53'Yanga wanajibu mashambulizi na kupata kona, inatolewa nje na Shishimbi. Township wanaonekana kujilinda zaidi
56' Papy Shishimbi anaonyeshwa kadi ya njano kwa kucheza rafu
58'Township wanajipanga kwenda lango la yanga, wanapiga kros ila inatoka nje.
59' Township wanapiga kros nyingine na straiker anapiga kichwa, almanusra waandike goli la pili
62' Chirwa anapiga shuti, linatoka nje.
63' Yanga wanapanga mashambulizi tena, Buswita anapokea pasi na kuipiga ila inatoka nje.
64'Kuna mchezaji wa Township rollers yuko chini.
65' Anatoka Emmanuel Martin, anaingia Geofrey Mwashiuya
66' Yanga wanapiga faul nje kidogo ya 18, faul inadhibitiwa.
68'Buswita anafunga ila anajikuta yupo offside.
Anatoka Ibrahim Ajib, anaingia Juma Mahadhi.
69'Ni piga nikupige kati ya Yanga na Township
70' Kipa wa township yupo chini akigangwa.
71'Obrey Chirwa anaoneshwa kadi ya njano
72' Mahadhi anapiga kros ila inatoka nje.
74'Kona kuelekea yanga, kona inapigwa ila haijazaa matunda.
75'Mpira sasa unachezwa upande wa lango la Yanga zaidi.
77' Shambulizi linafanyika langoni mwa Yanga ila kipa anaokoa.
78' Mwashiuya anapiga kona ila wanaondosha township rollers.
79' Free kick kuelekea goli la township rollers, ni nje kidogo ya 18. Geofrey Mwashiuya anaichonga ila inadakwa.
82'Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Motsholetsi Sikele anaipatia Township rollers goli la pili baada ya kupigiana pasi wenyewe kwa wenyewe na kujikuta yupo yeye na kipa wa Yanga na kuitundika kimiyani
86' Chirwa anapiga shuti lakini linatoka nje
90' Faul inapigwa kuelekea township, faul haijazaa matunda.
Kelvin Yondan anaoneshwa kadi ya njano
90+3 Yanga wanapiga kona ila kipa anadaka
Mpira umekwisha
Yanga 1, Township Rollers 2