Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Mpira huu. Ila nitazidi kuamini baada ya kipyenga cha mwisho.Poleee mumy
Vipi dadaDuuuh
Daaah
Ndio mpira huoOoops
Hamna kitu ila nimejikuta nasikitika kwa sauti. [emoji2] [emoji2]Vipi dada
Young Africans are out!
Vv
Yaaaa coz goal linafungwa ndani ya sekunde tuMpira huu. Ila nitazidi kuamini baada ya kipyenga cha mwisho.
Hahaha naona mmepigwa cha nguruwe hicho hamchomoi mkuuNyie Okwi ndo Manamuusudu..Asiwepo hata dro mnaisikia tu
Mmh. [emoji15] [emoji15] [emoji15]Eeehh! Mola Saidia Yanga (Watani) Ishinde Jamni Lol!!!
Kweli kabisa yaani.Yaaaa coz goal linafungwa ndani ya sekunde tu
Dakika Azijaisha Usizime Banah!Hebu nizime TV yenyewe sasa
Mtani pole naona vijana wa mjini ville washapiga cha pili cha kulalia ....Duuuh
Hahahaaa. Si unajua tena mpira ukikolea. [emoji12] [emoji12]Vipi! Kulikoni? Naona mshangao π π π