Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

Yanga kazi anayo....hawa matownship ni kwere
 
Jamani [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Huu Mgoli Waliofungwa Nina Ukakika Umepigwa Kutoka Sayari Jupiter! Nani anabisha??
 
Huyu Puppy Shishimbii Kaamua Kupiga Mashuti Jukwani Badala ya Golini 😀 😀 😀
 
Hawa jamaa ugenin wanacheza hivi..kwao sijui itakua je
 
pigaaaa mbwaaaaaaaaaaaaaaaaa haooooooooo chura churani vyuraaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…