Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Tulia wewe mpira dakika 90[HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Washaanza Kutekenywa Kiulaini 😀 😀 😀
Nakaa vizuri namwangalia mtani wangu hapa anaruka ruka tu uwanjan kama anataka kudaka seneneNa
kuona! Umeishiwa poz kabisa
Wameitoa El Merreikh, sio timu ya kitoto El Merreikh. Maana yake wako vizuri.Hawa jamaa ugenin wanacheza hivi..kwao sijui itakua je
Yanga vs kibonde
Hahahaaaaa. Na leo wamejaa hao lol.Waache hao
Uliangalia game ya man u jana?Lakini Leo Mutaanzia Nyuma
Haina shida tunarudi mapema sana.Dk ya 21 wao 1
Mungu ibariki Yanga, Mungu ibariki Tanzania
Hahahaaa. Nimejikuta nacheka sana. Duuh.Lakini Leo Mutaanzia Nyuma
Subilia dk 90 ziishe kwanza ndio utubarikiAmeshawabariki Kwa Kuwa Kipigo Cha Mapema! Labda Kwa sasa Muniombe Mimi King Ngwaba Niwabariki Naweza Kuwa Japo Kadraw ya 1 - 1
Tayari kashakalia kimojaMtu kashapakatwa
Uliangalia game ya man u jana?
Subiri mtanyamaza muda si mrefuKwani Man United ni Sawa na Nyinyi Wafuga [HASHTAG]#Kambale[/HASHTAG] Wa [HASHTAG]#Jangwani[/HASHTAG]??