Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
Unajua kuota sana aisee. Kanywe soda kwa Mangi nakuja kulipa.Subiri mtanyamaza muda si mrefu
Tayari tushakomboa.Haina shida tunarudi mapema sana.
Hawa simba hawajitambui...hawajui yanga ikifungwa hasira zitahamia kwenye VPLUnajua kuota sana aisee. Kanywe soda kwa Mangi nakuja kulipa.
Chirwaaaaaaaaaaaa!!!!!!Woyooooooooooooooooo
Yanga ni timu inayocheza mpira wa malengo, kutanguliwa kufungwa sio kitu kwao. Ushindi mnene jangwani leo
Furaha ya mudaWoyooooooooooooooooo
Hahahaa. Wana kelele nyingi utadhani mpira ulishaisha.Hawa simba hawajitambui...hawajui yanga ikifungwa hasira zitahamia kwenye VPL
Sisi kimatendo zaidiHamna Ushindi Nyinyi
MojaaaaaaaaaaaaaaaChirwaaaaaaaaaaaa!!!!!!
Sasa hawa kenge wa humu watatuliaTayari tushakomboa.
Amsha amsha lakoo linanikumbisha nifaah...muiteniii hukuuuWoyooooooooooooooooo
Sema usikike..Hamna Ushindi Nyinyi