Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Nimesikitika kusikia Simba watautumia uwanja wa uhuru kama uwanja wa nyumbani. Simba mnatakiwa kujiongeza uwanja ule una pitch ndogo sana haufai na utasababisha mpoteze baadhi ya mechi.
Tafuteni uwanja hata mikoani, kama Mandela Stadium rukwa na shinyanga au Kirumba Mwanza hapo uhuru mtadhalilika sana
Tafuteni uwanja hata mikoani, kama Mandela Stadium rukwa na shinyanga au Kirumba Mwanza hapo uhuru mtadhalilika sana