Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wakitumia Kirumba ata nafasi ya tatu hawapati.Ule uwanja una mapungufu mengi hata sijui ninani alipendekeza ,uhuru ni uwanja wa mazoezi sio ligi
Simba hawezi kwenda Kirumba, anauogopa balaa. Atakwenda kote ila sio kule. Yanga ndiyo uwanja wao.Ule uwanja una mapungufu mengi hata sijui ninani alipendekeza ,uhuru ni uwanja wa mazoezi sio ligi