Uwanja wa Uhuru sio rafiki kwa simba sc kupigania ubingwa ninani aliwachagulia? Bora watumie CCM Kirumba

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Ule uwanja una mapungufu mengi hata sijui ninani alipendekeza ,uhuru ni uwanja wa mazoezi sio ligi
 
Mjiulize wenyewe ni kwa nini wenzenu Yanga wanatumia uwanja wa Chamazi, halafu nyinyi mnatumia wa Uhuru.
 
Ule uwanja una mapungufu mengi hata sijui ninani alipendekeza ,uhuru ni uwanja wa mazoezi sio ligi
Simba hawezi kwenda Kirumba, anauogopa balaa. Atakwenda kote ila sio kule. Yanga ndiyo uwanja wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…