Hii team ni mbovu sana aisee, naangalia hapa mechi yao dhidi ya asec hata ikitokea wameshinda ni ngekewa tu ila hii team mbovu.
Na huu uwanja wao kabisa ni takataka eneo la kuchezea, hapa hata Wydad akienda atapata sare maana uwanja hauruhusu team icheze soka lake.