Uwasilishaji wa Bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwaongoza Watendaji wa Wizara hiyo, Wadau mbalimbali wa Sekta hiyo na baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuingia katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kushuhudia uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2023/24 leo Juni 3, 2023 Bungeni Jijini Dodoma.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…