Uwazi siyo Utupu (Transparency is not nakedness)

Uwazi siyo Utupu (Transparency is not nakedness)

gcmmedia

Member
Joined
Jul 19, 2024
Posts
34
Reaction score
75
Moja ya sifa za uongozi imara ni pamoja na UWAZI katika kufanya mambo na utoaji taarifa kwa wadau juu ya mwenendo wa shughuli na matokeo.

Hata hivyo, moja ya kosa viongozi wengi WAWAZI ambalo hufanya ni kudhani wanaweza kuwa wawazi kwa kila kitu. Kuwa muwazi katika kila kitu kunafanya taasisi kuwa legelege, kutoaminiana na kudhoofika katika juhudi za kufikia malengo yake.

Kiongozi mzuri ni anayejua:
Afanye nini, Wakati gani, Mahala gani na Kwa watu gani.

UWAZI SIYO UTUPU
(Transparency is not nakedness)
 
Back
Top Bottom