moderator,rider,mhariri,active pelekeni hii kitu chitchatIpeleke basi..
NA DEAL NA MWIZI MAANA MKE SI ASHAOIGWA TAYARI HATA NIIZUIA YE ALISHAAMUA KUFANYA HIVYO...NAOKOA PESA NA LAPTOPAF NAMUACHA AU NAMSHTUA KWASIMU NAU MSG NAMUAMBIANIMEKUONA ENEO FULANI NIKIWA NAOKOA LAPTOP NAHELAAF NASEPA AKIBISHA NAMPUNGIA MKONO NASEPAHabari wanajamvi?
Ikatikea bahati mbaya katika pita pita zako maeneo fulani hatari,ukakumbana na kibaka akakukwapua kimkoba chako kina laptop na kama laki tano hivi.
Kwakua umejaaliwa mbio,katika kumkimbiza (mwizi hua hakimbilii mahala pa wazi ila vichochoroni) ukamuina MKEO kabananishwa kichochoroni anapigwa mate.
Hivi utamkimbiza mwizi au utamfata mkeo?
Karibuni
ndio hivyo huko lilikopelekwa ndiko linakostahiliWamekusikia.. mniwie radhi kwa kumisallocate thread.
ahahaha sijamind mkuu ila nikuelimishana tu mkuuBladha mbona kama umemind vile as if ndo nlikua kichochoroni..