Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara.
Ujenzi wa ofisi hii hadi kukamilika kwake kutagharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni moja , ikiwa hadi sasa immeshagharimu kiasi cha Shilingi milioni 800,000,000 zimekwisha kutolewa kwa ajili ya ujenzi.Haya ni mafanikio na jitihada katika kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wangu Mkoani Manyara za kuhakikisha Polisi wanapata Ofisi nzuri itayowawezesha kufanya kazi kwenye mazingira rafiki.
Hata hivyo nimetumia nafasi hiyo kuwasihi maafisa wa polisi kuwa waadilifu na kutimiza majukumu yao kwa haki ikiwa ni sehemu ya kutimiza wajibu wao wa kuwatumikia wananchi.
Uwajibikaji rafiki wa maendeleo 🇹🇿