Wazo zuri sana mkuu, lakini sasa hata kama ni tangazo ndio liwe jepesi namna hiyo? Ungeweka michoro inayoonyesha mpangilio wa vyumba na ikiwezekana makadirio ya vifaa vya ujenzi uone kama watu hawajakutafuta kwa biashara!!!
Jaribu kupitia hata website za ramani mitandaoni wanaweka baadhi full detailed.