Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
khaaa we jamaaHakuna
Hiyo mbona management kubwa utahakikishaje waliookota wamelipwa kwa kilo sahihi makopo sahii naww haupolabda kuokota machupa/takataka
lakini,nayo kuna management ikiwa utafanya kwa ukubwa/kwa mafanikio ya kukutoa
yah everything is about managementHiyo mbona management kubwa utahakikishaje waliookota wamelipwa kwa kilo sahihi makopo sahii naww haupo
zipo zenye management ndogo lakiniyah everything is about management
HeeeehhZero management? Labda kubeti.
Hii kazi inaitwa Waste management & recycling so tayari hapo inakulazimu kuimanage.labda kuokota machupa/takataka
lakini,nayo kuna management ikiwa utafanya kwa ukubwa/kwa mafanikio ya kukutoa
Labda biashara ya kubet mkeka wa mwaka mzima. Unatia na kuusahau lkn zingine ni vita ni vita muraNatafuta wazo la biashara ambalo lina almost Zero management.
Kama mjuavyo biashara au uwekezaji unahitaji management la sivyo hasara utakula mchana.
Katika fikiria fikiri nimeona
BIASHARA YA KUKOPESHA WATUMISHI AU WAFANYAKAZI halafu hela inakatwa moja kwa moja bila kusumbuana marejesho ni uwekezaji mzuri ambao ni kama una zero management.
Nataka nipate mawazo au Idea zingine ambazo zina Zero au management ndogo kiasi kwamba unaweza kuwa unasoma huku unazifanya au uko una fanya kazi huku unaendesha hiyo shughuli
Mawazo yenu wakuu👇🏾
UTTNatafuta wazo la biashara ambalo lina almost Zero management.
Kama mjuavyo biashara au uwekezaji unahitaji management la sivyo hasara utakula mchana.
Katika fikiria fikiri nimeona
BIASHARA YA KUKOPESHA WATUMISHI AU WAFANYAKAZI halafu hela inakatwa moja kwa moja bila kusumbuana marejesho ni uwekezaji mzuri ambao ni kama una zero management.
Nataka nipate mawazo au Idea zingine ambazo zina Zero au management ndogo kiasi kwamba unaweza kuwa unasoma huku unazifanya au uko una fanya kazi huku unaendesha hiyo shughuli
Mawazo yenu wakuu👇🏾
unaitumia kwene nn?? itaingizaje pesaRobot investment |AI
NannUTAFILISIKA MKUU