Uwekezaji katika hisa.

Afande Nyati

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,385
Reaction score
1,414
Habarini wana jf. Sijui kama hii thread lmeshawekwa au la. Ila lengo ni kutaka kujuzwa juu ya uwekezaji katika soko la hisa.
Naomba kujua faida za hisa zinakuwaje, hasara zake na ni wakati gani muafaka wa kununua na kuziuza ili kupata faida maradufu.
Najua wataalamu wa masuala haya wamo humu maana jf hakushindikani kitu.
 
mtafute jamaa mmoja anaitwa BUSARA anafundisha review za CPA pale mtendeni, au kama kuna mwanafunzi wa review pale mtendeni akupe namba umtafute, jamaa anajua mambo ya hisa balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…