chawala_jr
Member
- Aug 16, 2017
- 7
- 5
Kumekuwa na tatizo kubwa la ajira nchini tanzania lakini je? Tatizo ni mfumo wetu wa elimu au sisi vijana kukosa ubunifu na uthubutu katika kujiajiri?
Asilimia 75 ya watanzania nI vijana na katika nchi yetu tumejaaliwa kuwa na ardhi yenye rutuba ya kutosha. Wafanyabiashara wengi Mf. Mohamed Dewji anahimiza vijana kujikita katika kilimo ili kupata mafanikio.
Kumekuwa na changamoto nyingi zinazowakumba vijana kuingia katika aina hii ya kilimo na biashara.. mojawapo ikiwa ni mtaji na uoga wa kufanya mambo. Je tukiwekeza nguvu kwenye itasaidia kutukomboa katika kujiajiri?
Sent using Jamii Forums mobile app