mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Habari za mdaa juu wana jf,Leo nimekuja kwenu nikiomba kufahamishwa hasa juu ya gharama za uwekezaji kwenye uchimbaji mdogo wa dhahabu hasa kwa mkoa wa singida,Dodoma ,Tabora na Shinyanga vitu ninavyotaka kujua nikama bei ya duara,karasha na gharama ndogo ndogo za uendeshaji.Asanteni wanajamvi
Shukrani,experience ni ndogo sana naweza kuwa na 10m at beginning but may be ntakuwa nikiongeza laki mbili kila wiki kama nitalipata singida(London I,sambaru au mpipiti nitafrahi zaidiBos gharama yakupata duara nibule kabisa kwakuwa unapewa nammiliki wa lesen yauchimbaji ila gharama zakarasha inategemea ila inaanzia 7ml gharama zingine ni kuchoronga,kulipua,kulisha kambi,kufungua mwalo ili ukusanye maludio ambayo badaye ndiyo yatakufanya upate hela nyingi yapamoja pia nakulisha kambi yaan wafanyakaz ila nakushauli kama mtaji wako nimdogo halafu hauna uzoefu acha hiyo biashara maana unaweza kupata hasara ila kama unauzoefu au mtaji unatosha nicheki inbox nikupe maelekezo zaid