LOVE U JF
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 2,138
- 1,639
Wadau bila kupoteza wakati.
Kisarawe ni Wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani, na hapa nalenga eneo la Kisarawe Maneromango au kama wenyeji wapaitavyo Mango, nimeweza kugundua yafuatayo ambayo ndyo sababu ya kuandika uzi huu ili wadau mnisaidie mawazo
1. Usafiri kutoka Dar had hapo niwa uhakika
2. Usafiri ndani ya eneo husika ni boda au baiskeli
3. Mashamba yapo na kilimo cha biashara ni machngwa na mihogo na ufugaji wa kienyeji ( kuku mbuzi n.k)
Sasa ombi langu, nafikiria biashara gani naweza fanya ikanilipa? Kama kuna anayepafahamu Mango au mwenye uzoefu na maeneo hayo anakaribishwa.
Kuna jamaa aliniambia nichimbe kisima cha maji kwa ajili ya kuwauzia wana kijiji (kuna uhaba wa mzji) ila bado nahitaji mawazo zaidi