Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Hivi vijana wamerogwa hasa tanzania, kenya na rwanda unakuta kijana anasubiri apewe mtaji wa $500 eti ndoo awezekujiajiri wakati kunaoportunity za yeye kuweza kutafuta mtaji kama ambavyo wauza mabenge wanavyotafuta ila wauza magenge wengi wao hawajui displine ya kukuza na kutunza mtaji mdogo walionao. Unakuta vijana wa kitanzania wanatangaza i design logo, website, banner na hata graphical design lakini ualisia sio designer wa kidigital ni anakusanya kazi za watu alafu ni msomi anajiita graduate. Wengi wapo umu j.forum. tuwaponde umuhumu wanakela