Dhahabu zimegawanyika makundi matatu. 1) Kununua mbichi kutoka mgodini. 2) Kununua cheni na pete zilizotumika. 3) Dhahabu huwa na viwango vya ubora 21/18/16/14 na kuendelea, wee unatakaje?Natumaini wote tu buheri wa afya, na kwa wale wenye changamoto basi Mwenyezi Mungu awape wepesi warudi kwenye afya njema.
Ninafikiria kuwekeza kweye madini ya dhahabu yaani niwe nanunua kuwekeza benki kisha kuuza baadaye, changamoto niliyonayo ni wapi naweza pata hiyo dhahabu kwa uhakika maana utapeli umeshika kasi sana.
Naomba kuwakilisha.
Mimi napenda kununua ilikamilika mfano pete,earings maana nitakuwa na uhakika ya dhahabu yenyewe kwa kuwa itatoka kwa sonara then nihifadhi niziuze after decadesDhahabu zimegawanyika makundi matatu. 1) Kununua mbichi kutoka mgodini. 2) Kununua cheni na pete zilizotumika. 3) Dhahabu huwa na viwango vya ubora 21/18/16/14 na kuendelea, wee unatakaje?
Sent using Jamii Forums mobile app