Uwekezaji kwenye Kilimo Tanga. Partnership

zakarya

Member
Joined
Nov 1, 2015
Posts
36
Reaction score
5
Ninatafuta partner kuwekeza kwenye Kilimo Tango. Tufanya mazao mbalimbali lakini mazao yanayouzwa vizuri
 
sijui ni uelewa wangu mbovu ama nini...nadhani taarifa haijitoshelezi ama hujafanya utafiti wa hicho unachokitafuta1
 
sijui ni uelewa wangu mbovu ama nini...nadhani taarifa haijitoshelezi ama hujafanya utafiti wa hicho unachokitafuta1

Ninataka kusema kwamba inawezekana kulima mazao mengi, hamna zao moja tu kwenye kiwanja kimoja.
 
Na mm nakomaa but alone ningeona uzi wako ningekutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…