Uwekezaji Mwenge, naota tu!

Uwekezaji Mwenge, naota tu!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594

Kivuko sintofahamu!
20230221_213746.jpg

Uwekezaji Mwenge!

Mtaa huo unavituko, hata kinara wa zamani kujenga naye kawekeza hapo Kebbys.
Lakini naota tu!
 
Miradi ya Mwenge Kijijini
1. Uwanja wa KMC
2. Soko
3. Kituo cha daladala
4. Jengo la wafanyabiashara
 
Tatizo hiyo video na kichwa cha uzi haviendani. Labda kama kuna mtu kaelewa atueleweshe zaidi.
 
Umeshasomeka mkuu, kwamba beki namba 5 na kiungo mkabaji namba 6 wote wamesimika nguzo pande hizo za mwenge...
 
Mbona naskia hakua amezaa nae enzi za uhai wake na ikapeleke mjane kuamua kutemama nao...🤔
Lakini baada ya mambo kukaa sawa, basi yule kijana (zamani JD) akaenda kukodi location kwaajili ya kazi zake.
Sasa mbaya zaidi vijana alio waandika deiwaka ndio wamekua vituko zaidi kwa kukoleza habari ya kwenye hazeti kwa utangazaji wa hovyo kabisa.
 
Tunaambiwa watu wanapenda kujikita kwenye ujenzi ili waache kitu cha kuonekana wakumbukwe, kumbe janja ya nyani tu ujenzi chenji yake inayobaki ni kubwa kuliko chenji inayobaki kwenye nyanya na vitunguu....
Ndio hapo tunaunganisha na MV Magogoni.
 
Back
Top Bottom