Uwekezaji mzuri kwenye dhahabu

Kama Senga/Rudio lako linasoma PPM 5-7 NA una Tenki kaunzia kumi na kuendelea na huna hio million 20 ya plant na Elution na gharama zingine huwa tunafanya hivi,

Unamuita mwenye Elution, anachukua sample akijiridhisha linasoma hvyo , anakugharamikia kila kitu kwa kuwa anajua kwa PPM hio hukosi Kilo 2 za Dhahabu ambapo kilo moja ya dhahabu inanunuliwa sh million 132
So uhakika wa kumrudishia anakuwa nao

Mm nafanya hio biashara Niko hapa Mwakitolyo namba tano leo miaka miwili sasa
 
Mimi nafikiri kujenga elution plant, what's your input on that?
Mtaji wa kujenga plant inayoeleweka kabisa Ni Around million 100 na vibali,

Elution Ni Around million 500 nakuendelea na vibali

CIP Ni around billion 2.5 na kuendelea

Kama unahela Jenga CIP
 
Wengi wamekuwa matajiri ndani ya muda mfupi kwa njia hiyo. Sema ujitahidi kuijua kazi hiyo vizuri na changamoto zake. Nikipata change ntakuja kuifanya.
Mtaji roughly kuanzia kiasi gani kwa mjasiriamali mdogo na wa kati na ROI kwa muda gani na vifaa gani vitahitaji na kuna vibali gani kutoka serikalini?
 
Mtaji wa kujenga plant inayoeleweka kabisa Ni Around million 100 na vibali,

Elution Ni Around million 500 nakuendelea na vibali

CIP Ni around billion 2.5 na kuendelea

Kama unahela Jenga CIP
CIP ni nini mkuu? Na uhitaji wake ni mkubwa au ile unajenga lakini mzigo hamna
 
CIP ni nini mkuu? Na uhitaji wake ni mkubwa au ile unajenga lakini mzigo hamna
Carbon in Pulp,hii ni moja ya njia za uchenjuaji wa madini wa kisasa na unaohitaji uwekezaji mkubwa wa kifedha na kitaalam
 
Habari wanajamvi mi nmepitia pitia hz comment ila nmeona kama ukiwa na maosheo na crusher lako ni bora zaidi kwa mtu anaeanza biashara ya madini kuliko kuingia kwenye uchimbaji direct ila pia hapo kwenye kukusanya lundo na kwenda plant km hauna nguvu ya kutosha bora uuze lundo kwa wenye nguvu upate nguvu ya kuendeleza maosheo yako then baada ya miaka miwili utakua umebadili story ya maisha sasa ukiamua kwenda plant mwenyew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…