asante kwa kunifafanulia.
Nilitaka kujua tu zile halali, ambazo docs zake zipo,
hayo mambo mengine ya siri najua hatuyawezi.
Mfano, mimi kwa hisia zangu, Azam ni kampuni ambayo iko kwenye macho ya watu, mie nilidhani ni kampuni kubwa kuliko zote hapa Tanzania, ila sina uhakika kwa kuwa hakuna offical list nilioiona,
mi nadhani hii itasaidia mtu kujua unadeal na kamouni yenye reputation, reliable na kukuwezesha kuomba ushauri au kuiga baadhi ya mifano.
Kama vile kujifunza historia, walikotoka, waliko na wanakoenda,
je kuna hap mahali naweza kusoma?
au nalo ni mjadala wa wana JF?