Abby Senior
Senior Member
- Feb 14, 2015
- 154
- 60
Habari wadau,
Kuna wawekezaji wanataka kuwekeza Tanzania au popote Africa katika sekta ya nishati, je ninaweza kupata wahusika au kama kuna wadau humu tufanye kazi?