Daudaa New Member Joined Apr 26, 2021 Posts 2 Reaction score 0 Jul 20, 2023 #1 Ili niweze kuwekeza nje ya nchi yangu jama inatakiwa nizingatie nini haswa nje na mtaji wangu? Na Sheria zinapoje katika uwekezaji wa nje ya nchi yangu?
Ili niweze kuwekeza nje ya nchi yangu jama inatakiwa nizingatie nini haswa nje na mtaji wangu? Na Sheria zinapoje katika uwekezaji wa nje ya nchi yangu?