Investor 1
Senior Member
- May 4, 2022
- 106
- 206
Sasa kama huna uwezo si ubaki kwenu Tz tu?[emoji23] Dubai?? Kule kwwa kina Abdul rahman sulaiman khairuj?kupata Leseni tu unanunua bugati
Wakuu naomba kupata uzoefu wenu Kwa wale waliowekeza au kufuatilia uwekezaji wa apartments huko Dubai na miji mingine, naomba kujua hii biashara inaendeshwaje hasa ukiwa mbali na namna ya kuwekeza inakuwaje?
Njema kabisa, nadhani hapo ushauri ni muhimu Kwa aina ya soko la kuwekeza. Kama ikiwezekana kuyafahu makampuni yanayoweza kufanya management ni vemaHabari yako Investor 1
Uendeshaji unategemea unataka kuwekeza kwa soko gani. Kuwa mbali sio tatizo zipo kampuni zinaweza kukufanyia management vizuri sana
Vema mkuuMtu mwenye uzoefu wa kuwekeza kwenye ma apatimenti nje ya bongo ni mbunge wa Kahama mjini mzee Jumanne Kishimba aka J4; huyu anaweza kukupa ABC za biashara hiyo nje ya nchi. Check nae, utanishukuru baadae
Bongo sii ulishajenga apartment zakutosha[emoji23] Dubai?? Kule kwwa kina Abdul rahman sulaiman khairuj?kupata Leseni tu unanunua bugati