Tanzania Railways Corp
Govt Institution
- Mar 23, 2018
- 292
- 690
Mnawezaje kupeleka taarifa eneo ambalo serikali hiyohiyo imeifungia?Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa ametembelea banda la Shirika la Reli Tanzania (TRC) katika maadhimisho ya Wiki ya Usafiri Endelevu Ardhini yanayoendelea kufanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja vilivyopo jijini Dar es Salaam.
Mhe. Prof. Mbarawa amesisitiza suala la ushirikishwaji wa sekta binafsi hasa kwa upande wa mizigo ili kuweza kuongeza mapato katika sekta ndogo ya reli.
“Ili usafiri huu uwe endelevu lazima tufanye Open Access, tuingize wadau wengi waweze kuleta mabehewa yao pamoja na vichwa vyao ili waweze kufanya huo usafiri pia reli inapaswa kufanya kazi saa 24 kwakuwa uwekezaji huu ni lazima urejeshe fedha ambazo serikali imewekeza ” alisisitiza Mhe. Prof. Mbarawa.
Aidha Mhe. Prof. Mbarawa aliwaasa wafanyakazi waliopata fursa ya kusimamia na kuendesha treni wafuate kanuni na taratibu ili kuweka ufanisi wa kazi na kuepusha kutokea kwa ajali.
“Kanuni za uendeshaji pekee ndio zitatupa usalama wa treni zetu na tukifuata hivyo hakutakuwa na ajali sababu ya kufuata miongozo na reli itadumu muda mrefu” aliongezea Mhe. Prof. Mbarawa.
Usafiri wa reli yenye kiwango cha mataifa umeleta mapinduzi makubwa ya usafirishaji kwa kuendelea kutoa huduma bora nchini.
🤣🤣🤣🤣 Sikutarajia hili swali ila nimefurahi mkuuMnatumia VPN gani
🤣 sa itakuwaje mkuuMnatumia VPN gani?
Tunasubiri TCRA nao walete Uzi hapa Kwa kutumia VPN 🤣Mnawezaje kupeleka taarifa eneo ambalo serikali hiyohiyo imeifungia?
Serikali yenu inamambo yakis3ng3 sana
Unaye mwanasheria 🤣😂 😂 😂 😂 😂 haya mambo haya!? Kwa hiyo agency ya serekale imevunja sheria!?
Nasema huku naogopa🤣🤣🤣🤣
Msheria wangu ana kigugumizi kilichokomaa sijui itakuwaje😂 😂 😂 😂 😂 haya mambo haya!? Kwa hiyo agency ya serekale imevunja sheria!?
Nasema huku naogopa🤣🤣🤣🤣
JamiiForums si imefungiwa Tanzania? Au mnaripoti mubashaara kutokea Burundi? 😁Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa ametembelea banda la Shirika la Reli Tanzania (TRC) katika maadhimisho ya Wiki ya Usafiri Endelevu Ardhini yanayoendelea kufanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja vilivyopo jijini Dar es Salaam.
Mhe. Prof. Mbarawa amesisitiza suala la ushirikishwaji wa sekta binafsi hasa kwa upande wa mizigo ili kuweza kuongeza mapato katika sekta ndogo ya reli.
“Ili usafiri huu uwe endelevu lazima tufanye Open Access, tuingize wadau wengi waweze kuleta mabehewa yao pamoja na vichwa vyao ili waweze kufanya huo usafiri pia reli inapaswa kufanya kazi saa 24 kwakuwa uwekezaji huu ni lazima urejeshe fedha ambazo serikali imewekeza ” alisisitiza Mhe. Prof. Mbarawa.
Aidha Mhe. Prof. Mbarawa aliwaasa wafanyakazi waliopata fursa ya kusimamia na kuendesha treni wafuate kanuni na taratibu ili kuweka ufanisi wa kazi na kuepusha kutokea kwa ajali.
“Kanuni za uendeshaji pekee ndio zitatupa usalama wa treni zetu na tukifuata hivyo hakutakuwa na ajali sababu ya kufuata miongozo na reli itadumu muda mrefu” aliongezea Mhe. Prof. Mbarawa.
Usafiri wa reli yenye kiwango cha mataifa umeleta mapinduzi makubwa ya usafirishaji kwa kuendelea kutoa huduma bora nchini.
Kama unaitakia mema Tanzania huwezi kupuuzia tahadhari aliyoitoa Max Melo juu ya kuzuia raia kutoa maoni wakati akihojiwa na Chanzo. Matokeo ya kubinya habari wameyapata kwa Larry!Tunasubiri TCRA nao walete Uzi hapa Kwa kutumia VPN 🤣