Leo kutakuwa na interview kubwa kabisa itawakutanisha miamba mitatu kwenye sport na music kwa pamoja Msanii number 1 wa Tanzania, Msemaji no 1 wa mabingwa Simba sports club na Tajiri Mohamed (mo) kwenye kipindi Cha sports Arena Cha Wasafi FM stay turned.
Moja ya mambo yanayotarajiwa kuzungumziwa ni pamoja tukio kubwa linaloenda kufanyika la Simba day na mambo mengine.
=======
Mo Dewji amzungumzia suala la Senzo kuondoka Simba na kudai walimuwekea KPI ya kuongeza mapato na kupunguza gharama, wakati wanaelekea kwenye bodi kumjadili nae akaonda kuna jambo litatokea akaamua kuondoka. Dewji ameendelea kudai inasemekana amechukua nyaraka na kwenda kuwapa wenzao lakini wao hawana shida kwa wanajiamini wenyewe na wana mpango wao na hawajatikisika na karibu watamtangaza CEO mwingine.
Manara amesema kusemekana kuondoka na nyaraka na wanayotamba nayo ni ya mikataba ya wachezaji Nickson na Chama na kusema chama ameshaingia Dar na Miquissone
aliomba ruhusa kuwa anaoa na uongozi uliridhia pamoja na Wawa. Manara amesema hakuna klabu Afrika Mashariki inayoweza kumsajili mkataba mwenye mkataba na Simba na haitakuwepo. Amesema Miquissone waliletewa dau la dola 500,000 na klabu ya ligi kuu ya uholanzi.
Suala la uwekezaji wa bilioni 20, Mo amehoji mtu mwenye akili timamu anaweza kufikiri Mo atashindwa bilioni 20? Kwa hivyo anaomba kuwatoa hofu japo anajua kuna baadhi ya watu bado wanachokonoa chokonoa lengo lao kuleta vurugu lakini hawana time nao na wanasonga mbele.
Kuhusu mchakato, amesema klabu ilikuwa inaendeshwa kienyeji sana na sasa wana 'streamline' kwani kwenye mfumo mpya lazima uanze na ukurasa mpya. Mo amesema hawezi kuondoka Simba.
Kuhusu slogan ya nguvu moja, amesema iko palepale lakini lazime kuwe na clean logo na Simba wa mwanzo alikuwa mdogo na amezeeka na wao wamepitia logo zaidi ya 1,000 na wamefanya professional na kazi imekubalika lakini hawawezi kukubali watu wote.