Uwekezaji strong and viable unawesekana tu penye demokrasia pana. Hakuna mwekezaji anayependa one man show. They are always risk-averse

Uwekezaji strong and viable unawesekana tu penye demokrasia pana. Hakuna mwekezaji anayependa one man show. They are always risk-averse

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Chini ya utawala wa Samia wawekezqji watazidi kumiminika tu maana demokrasia ipo kwa maana ya kwamba upinzani unafanya mikutano na kutoa maoni. Mfano uchaguzi wa juzi wa chadema umetoa somo kubwa ulimwenguni kuwa Tanzania is a safe country to invest in.

Hakuna uongozi wa kijeshi au one man show unao-attract mwekezaji maana anahisi siku asipomfurahisha tu mtawala anatimuliwa au kufilisiwa kama ilivyokuwa kipindi cha JPM ambapo kila mwekezaji alikuwa anatimua mbio.

Impact ya kutokuwa na uwekezaji ni disaster kubwa kwa wananchi maana uchumi unasinyaa ndo mana msemo uliibuka kipindi cha JPM kwamba vyuma vimekaza lakini chini ya Samia msemo huo umeshapotea kabisa
 
Back
Top Bottom