Jumia/ kupatana ya kitanzania itakuwepo tu soon, naona sahivi zipo nyingi zinaanzishwa na wa Tanzania, itatoke moja hapo itapenya.
Facebook/ twitter ya kitanzania hapa naona bado mana legalega mno, wapo wengi tu wenye uwezo wamutengeneza site kama hizo na wala sio vigumu kuzitengeneza, lakini watu wakuziendesha/ kuziwekea mitaji wapo lakini wapo tayari kuwekeza....
Youtube yakitanzania na yenyewe bado wakutengeneza wapo lakini wawekezaji hawapo tayari.
Whatsapp ya kitanzania na yenyewe bado, watengenezaji wapo lakini wawekezaji hawapo tayari.