Uwekezaji TEMESA (PPPs) kama Watanzania tuwekeze hata kwa Ushauri

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Baada ya kuona tunaitwa kuwekeza kwa UBIA kwenye VIVUKO; nikaingia kwenye TOVUTI yao kuona hawa jamaa wanafanya nini katika Huduma ya VIVUKO Home | TEMESA


Kwa haraka haraka naona kama kazi za hawa watu nyingi ni za administration / Usimamizi (Hivyo wanaweza wakasimamia kwa uchache au wajifute na hao so called wabia wafanye hizo shughuli ambazo naona kama ni duplication....
USHAURI WANGU
  1. Kwahio ni kwamba kama TEMESA inahusiana na Usalama na sio necessarily Upatikanaji wa Faida je kuwekeza jambo kama hili kwa watu binafsi ni busara. ? Hivyo kwa ushauri kama usalama ni lazima basi kitengo hiki kipunguzwe ukubwa na wabakie na kazi ya kusimamia tu ubora...
  2. Na kama ni issue ya mapato kwanini tuingie UBIA na tusiwaachie watu binafsi wafanye moja kwa moja...
Sababu naona tusipoangalia hapa huenda Kodi zetu zikatumika katika Udalali na kunufuisha wachache bila kuongeza ufanisi...
 
Kodi zetu zitatumika kwa udalali namna gani mkuu
 
Kodi zetu zitatumika kwa udalali namna gani mkuu
Umeona hapo nimeonyesha kazi za TEMESA nioneshe wapi wanahitaji msaada wa UBIA na kwanini iwe UBIA kama hawawezi kufanya isiwe private 100 percent ?

Na kama ni kazi ya kusimamia na kuweka mipango kazi na kuhakikisha usalama je unaweza uka privatise such an issue...

Kujibu swali lako tumekuwa tukipiga chapuo la kuuza hizi PPPs bila kuangalia loopholes za upigaji.
  • Although PPPs are often promoted as a solution for countries under fiscal constraints, the evidence suggests rather that they worsen fiscal problems. According to the EIB, the six countries which have made the greatest use of PPPs in recent years are Cyprus, Greece, Ireland, Portugal, Spain and the UK. Four of these are subject to ‘Troika’ rescue packages, and the other two – Spain and the UK – both face large fiscal problems. In both Portugal and Cyprus, the IMF/EU ‘troika’ packages have identified PPPs as a contributory cause of the countries’ fiscal problems, and required an audit and renegotiation of existing PPPs and a freeze on new PPPs. 11 (see case study) In Latin America, PPPs are also concentrated in very few countries. Brazil and Mexico account for 65 per cent of all PPPs; Colombia, Peru, and Chile account for a further 15 per cent.
  • A further danger is the recent effort by the World Bank,the G20, OECD and others to ‘financialize’ PPPs in order to access the trillions of dollars held by pension funds,insurance companies and other institutional investors.
  • PPPs originated as an accounting trick, a way round the government’s own constraints on public borrowing. This remains the overwhelming attraction for governments and international institutions. Just as companies like Enron had tried to conceal their true liabilities by moving them‘off-balance-sheet’, so governments started using PPPs as “tricks…. whereby public accounts imitate the creative accounting of some companies in the past.”
  • “In developing countries, the development banks and multinational companies encouraged the spread of PPPs in the 1990s, especially in the water and energy sectors, as part of the general promotion of privatisation – and as a way around the fiscal limits which the same IFIs were imposing on developing countries. The main form of privatisation in water was concessions or lease contracts, which are a classic form of PPP.”
  • Governments have also started providing subsidies for PPPs, mainly by lending public money at low rates of interest that the private sector could not otherwise obtain – despite the obvious intrinsic contradiction of using public finance to finance PPPs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…