Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,118
Uwekezaji ni tofauti na bishara (kununua na kuuza kwa faida kwa muda mfupi 1yrs max)
Kwa kawaida uwekezaji ni mradi wa muda wa kati hadi mrefu japo pia yawezekana hata chini ya hapo na hasa usio na shughuli nyingi za kila siku.
Lengo la UZI HUU ni KUBAINI au KUTAMBUA FURSA ZA UWEKEZAJI TU,
Ni aina ngapi za uwekezaji zilizopo ZINAZOWEZEKANA katika mazingira yetu ya Tanzania ya kawaida kabisa, Naaamini sote tunaweza faidika kutokana na michango yenu ya mawazo;
Ninachokuomba ni KUTAJA TU HIYO MIRADI Kama nilivyotaja hapa chini;
1.Guest House
2. Nyumba ya Kupangisha
3.Kujenga Frame za bishara
4.Kununua Viwanja
5.Mashamba ya KUkodisha
6.Miti ya Mbao
7.Hisa za makampuni
8.Fedha banki kwa muda maalum FDR
9.Madini kuchimba
10.Kujenga Mabwawa ya samaki ili kukodisha wafugaji
11.Mashamba ya mifugo ya kukodisha
12.
Tafadhali ongezea . . .. . . . .