Uwekezaji wa Bilioni 73 uwanja wa ndege wa mtwara umewezesha uwezo wa kiwanja hicho kufanya kazi saa 24

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Uwekezaji wa Bilioni 73 uwanja wa ndege wa mtwara umewezesha uwezo wa kiwanja hicho kufanya kazi saa 24
Uboreshaji na upanuzi wa kiwanja; Kwa kujenga njia ya kurukia ndege yenye urefu wa mita 2800 na upana wa mita 45 kwa kiwango cha lami.

Pia ujenzi wa eneo la maegesho ya ndege, barabara ya kiungio (Taxiway) yenye urefu wa mita 467 pamoja na ujenzi wa barabara mpya ya magari kuingia uwanjani hapo.

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.

#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
 
Attachments

  • IMG-20250222-WA0003.jpg
    IMG-20250222-WA0003.jpg
    426.3 KB · Views: 1
Uwekezaji wa Bilioni 73 uwanja wa ndege wa mtwara umewezesha uwezo wa kiwanja hicho kufanya kazi saa 24
Uboreshaji na upanuzi wa kiwanja; Kwa kujenga njia ya kurukia ndege yenye urefu wa mita 2800 na upana wa mita 45 kwa kiwango cha lami.

Pia ujenzi wa eneo la maegesho ya ndege, barabara ya kiungio (Taxiway) yenye urefu wa mita 467 pamoja na ujenzi wa barabara mpya ya magari kuingia uwanjani hapo.

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.

#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
Kwa dunia ya sasa viwanja vyote vinatakiwa vi operate for 24 hours. Nchi haiwez ku afford kuwa na kiwanja kinanaoperate kama day school
 
Back
Top Bottom