Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Usiwe mpuuzi, utauzaje kitu bila kuweka picha?Habari wakuu.
Nyumba ya Zamani inauzwa magomeni Kagera.
Ipo karibu na morogoro Road au kituo cha mafuta cha oilcom.
Sqm 400
Hati Safi
Hakuna mgogoro wa kifamilia au kiserikali.
Bei ya nyumba hii ni milion 680
📱0754693556 nipigie nikupeleke.
Nimeweka namba za simu hizo mkuu.Usiwe mpuuzi, utauzaje kitu bila kuweka picha?
Basi ukiona hivyo huyo muuzaji hayuko serious na uuzaji nyumba yake, anaogopa wenyewe wataiona.Nimeweka namba za simu hizo mkuu.
Wauzaji wengine hawapendi nyumba zao zipigwe picha au zionekane kwenye mitandao.
Ndio mana nimeweka namba ya simu ili kama utahitaji kuona nitumie ujumbe wasap nitakutumia picha.
Piga simu ukaione nyumbaBasi ukiona hivyo huyo muuzaji hayuko serious na uuzaji nyumba yake, anaogopa wenyewe wataiona.
Wewe ndio haupo serious mkuu.Basi ukiona hivyo huyo muuzaji hayuko serious na uuzaji nyumba yake, anaogopa wenyewe wataiona.
Shukrani mkuu WA jibu la hekhimaPiga simu ukaione nyumba
Mimi sichaji Hela ya kukupeleka mkuu elewa Hilo.Kumpeleka mtu kwenda kuiona nyumba shing' ngapi? Mjini nenda na akili tu,vingine utavikuta huko huko.!